-
Building Lasting Relationships
Relationships can be one of the most enriching or one of the most destructive parts of our lives. Depends on the sorts of relationships we enter into and build. Join Berni Dymet ...
-
Utamfananisha na Nani?
Leo ni siku ya Jumapili tena. Kwa wamoja, ni mwisho wa wiki, kwa wengine ni mwanzo wa wiki inayofuata. Haijalishi uko kwenye kundi gani, tusherehekee kwa pamoja ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Mungu Akubebaye
Ulimwenguni ambamo kila kitu kinalenga mafanikio, sio rahisi kutokujiona kwamba hufai. Si tunakusudiwa tuwe watu wenye uwezo na wa kujitegema? Tunakusudiwa tufanikishe ...
-
Kanyaga Njia Iliyo Sahihi
Safari ya maisha ina makona mengi na ina njia panda nyingi pia. Bila shaka, ukiangalia nyuma, unaweza kuona jinsi maamuzi madogo kwenda huku badala ya kwenda huko, yaliweza ...
-
Injili Yenye Ukinzani
Kwa kweli, kuna wakati habari njema hii of Yesu inasikika kama si habari njema hata kidogo. Kwa kuwa yeye mwenyewe aliahidi kwamba kuwa mwanafunzi wake kutakuwa kazi ...
-
Neema ya Mungu
Mambo mengi maishani yanatakiwa mtu awe na juhudi nyingi kwa sababu ni kazi ngumu. Ndoa zinazopendeza hazitokei hivi hivi tu, bali zinahitaji wanandoa kujitahidi sana. ...
-
Piga Mbio Katika Mashindano
Katika maisha haya, kuna wakati kila mmoja wetu anataka kuacha majukumu na kujiudhuru. Inaweza kuwa katika ndoa yako, kazini ulipoajiriwa, hata safari yako ya imani. ...
-
Uovu Uliomo Ndani Yetu
Uovu ni mwingi sana ulimwenguni mwetu. Kiburi, ubinafsi, jeuri, ukatili … utengano katika jamaa, mataifa wakipigana, maskini na waliotengwa kutupwa pembeni kama ...
-
Escaping from the Siege
With everything we have going on in our lives, we can sometimes get to a point where we feel as though we’re under siege – everything is conspiring together to rob us of life. ...
-
Usipuuze Dalili Hatarishi
Nadhani tungekubaliana kwamba ni mtazamo mzuri kujaribu kutafuta yaliyo mema ndani ya watu wengine, tukiangalia uwezekano wao na kuchukuliana nao katika mapungufu waliyo nayo – ...
-
Kufuta Kabisa Umbeya
Umbeya una uwezo kumharibia mtu sifa. Udaku kidogo hapa, mnong’ono pale na baada ya muda mfupi tu, kiwanda kile cha umbeya kinaanza kutoa uvumi wake kwa wingi. Ni ...
-
Tusiwatupie Watu Mawe
Tukimwona mtu mwingine akitenda mabaya, mara nyingi tunafikiri ni wajibu wetu kumtupia mawe. Ni huzuni kabisa kwa sababu mwitikio huo unaonekana zaidi kwa Wakristo kuliko ...
-
Kipofu Kuongoza Kipofu
Kuna hatari iliyo dhairi tena huwa iko daima kwa watu wanaoweka tumaini lao kwa mtu au kwenye kitu, wakiwemo Wakristo …..,ni kwamba wanaweza kutumia imani yao kutenda kitu cha ...
-
Jinsi Unavyokuwa Mkarimu
Je! Utakwazika nikikuuliza swali hili? Je! Wewe ni mkarimu kiasi gani kwa kusaidia watu wengine? Wakati unamwona mhitaji, mara moja mwitikio wako ukoje? ...
-
Unavyowaadhibu Wengine
Je! Tuwe na mwitikio gani wakati watu wanatukosea? Mtu atakabilianaje na wenye kumwudhi, watu wasiompenda, wanaomdhalilisha? Nijibu, wewe binafsi unafanyaje? ...
-
Aliye Mwema Kuliko Wote
Watu wanaweza wakatofautiana kwa jinsi walivyo na akili. Pengine wewe una kipaji fulani wakati jirani yako anacho kipaji kikubwa tofauti kabisa. Ndivyo ilivyokusudiwa ...
-
The Faces We Wear
We all put on different faces from time to time. Sometimes knowingly and sometimes without even realising it. Now the problem is that the face is supposed to reflect the heart. ...
-
Katika Njia ya Haki
Mara tena na tena, uchunguzi umegundua kwamba kampuni zinazoendelea kufaidika miaka nenda rudi, kwamba utendaji wao u katika maadili – yaani ni waaminifu, wanawatendea haki ...
-
Usiwe Mvivu
Je! Ni lini haja ya kupumzika inaweza kuwa udhuru wa uvivu? Sisi sote tunahitaji kupumzika baada ya kazi ngumu, lakini ni vigumu kutofautisha mapumziko halali na ...
-
Usishangae
Kwa kweli, hakuna kukwepa yanayoletwa na mauti. Mtu hapumui tena, moyo unasimama, damu haitembei tena, bongo inakufa na tangia muda ule, mwili unaanza kuoza. Yaani ni ...
-
Uhakika wa Wokovu
Watu wengi sana wamechanganikiwa kuhusu kigezo kikubwa, kigezo pekee cha kupata uzima wa milele. Wachache wanasema hivi, Mimi sijawa mtu mbaya sana, nitakuwa salama ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Uwezo wa Uzima
Hakuna awezaye kukana miujiza ya ajabu Yesu aliyofanya. Alifanya viwete watembee, vipofu waone, Lazaro kufufuka kutoka kaburini. Lakini miujiza hiyo ilikuwa na maana ...
-
Jinsi ya Kutokufeli
Je! Umewahi kuanza kupiga hatua ya kumtendea Mungu kazi fulani kwa imani, ukijaa ujasiri na bidii lakini kumbe, badala ya kufaulu unaanguka vibaya?! Hata mimi ...
-
Hatari za Dini
Ni ajabu sana jinsi ilivyo rahisi mtu kuvichukua rehema zake Mungu na neema yake – hata kama vinashangaza – na kuvibadili viwe orodha ya kanuni na makatazo tu. Mtu ...
-
Dealing with Difficult People
There’s one thing about other people. They’re everywhere and we just can’t get away from them. At home. At work. At church. They’re there. And sometimes, they’re ...
-
Dealing with Difficult People
If you haven’t noticed there are people everywhere. It’s hard to get away from them sometimes. And some of those people are difficult to deal with. Turns out that they can ...
-
Kudhamiria Kutenda Dhambi
Kila mmoja wetu anao udhaifu fulani, yaani upungufu ule, dhambi ile moja inayorudi kutusumbua na kukwamisha safari yetu ya imani. Nadhani unaijua ile dhambi inayokusumbua ...
-
Tenda Fadhili, Uwe Mkarimu, Tenda Kwa Haki
Unajua ninavyofikiri? Ninafikiri kwamba ni rahisi kuufanya Ukristo kuwa swala la kiroho tu. Kuvutwa na kuimba nyimbo na kusalimiana – Bwana asifiwe ndugu! – hadi ...
-
Hatia ya Kusababisha Ajali
Katika nchi nyingi, kuhakikisha usalama na afya ya wafanyakazi ni jambo muhimu sana na ni sahihi kuvishugulikia kisheria kwa sababu hua kunatokea ajali za ajabu zinazoathiri ...
-
Je! Wewe ni Jirani wa Namna Gani?
Majirani hua wana tabia ya kusumbuana. Sababu inaweza kuwa mbwa anavyobweka, labda ni mizizi ya mti inayoranda chini ya fensi, labda ni moshi wa sigara au kufia ...
-
Ratiba ya Mungu Haina Makosa
Nikisema kweli, mara nyingi sikupendezwa na ratiba yake Mungu. Mara nyingi zaidi, mateso yaliendelea kupita kiasi. Halafu, mara nyingi sana amezuia baraka zake muda ...
-
Laghai Kuliko Wote Duniani
Kuna mtu aitwaye Bernie Madoff, aliyewahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya soko la hisa iitwayo Nasdaq. Yeye ndiye aliyeweza kubuni njama ya kutapeli watu wengi kwa hela nyingi ...
-
Upendo Usio na Makona
Mtu akiangalia uovu unaotuzunguka, lazima ajiulize, je! Dawa itapatikanaje? Suluhisho linaweza kutoka wapi? Tunawezaje kuuzuia? Wanaume wasio waaminifu kwa wake ...
-
Love Is (2)
We live in a go, go, go, hectic, run at a million miles an hour kind of world these days. And the busier and more connected that we become, the harder it is to remember what ...
-
Jinsi Unavyowatendea Wafanyakazi Wako
Mtu awaye wote aliyekuwa na majukumu ya kuongoza watu wengine anafahamu kwamba ni kazi ngumu. Kuna wakati watu wanakuangusha kabisa. Vile vile, hauna budi kukosolewa. Kwa ...
-
Kumbuka Thawabu Yako
Kujaribu kuvutia watu wengine bila shaka kunaweza kumletea mtu thawabu ya muda mfupi. Ukimpendeza bosi yako yamkini unaweza kuongezewa msharaha au kupanda cheo au vyote ...
-
Je! Bado Unajaribu Kuvutia Watu Wengine?
Haijalishi tunavyofikiria kwamba tu wanyenyekevu kiasi gani, bado kuna kishawishi kilichofichwa kwenye kiini cha mioyo yetu kinachotwambia kwamba ingependeza sana kama sisi ...
-
Kiburi cha Kishetani
Je! Shetani amewahi kukushawishi na kukujaribu moja kwa moja ufikirie kwamba wewe unaweza kuwa mtu maarufu, mtu aliyefanikisha mambo yake vizuri? Ujue kwamba si wewe tu ...
-
Kiburi Kinaharibu
Je! Unapenda kuishi au kufanya kazi na mtu mwenye kiburi? Au labda umezungukwa na wenye kiburi zaidi? Haipendezi kwa kweli. Bila shaka, mtazamo unaoleta uharibifu kuliko ...
-
Uwezo Ndani ya Maswali
Laiti maisha yangekuwa sahili … lakini sivyo ilivyo. Maisha mara nyingi ni ya fujo, ni gumu kufahamika. Hisia za watu, zetu zikiwemo, ni kigeugeu. Mara nyingi ...
-
Je! Mungu Bado Anatuadhibu?
Acha nikuulize, je! Mungu bado anaadhibu watoto wake? Wakati unafanya kosa na unajua ni kosa, je! Bado anachukua fimbo yake kubwa na kukuchapa mkono? Ni swali zuri la ...
-
Love Is (1)
We live in a go, go, go, hectic, run at a million miles an hour kind of world these days. And the busier and more connected that we become, the harder it is to remember what ...
-
Dhana Inayochukiza Sana
Haijalishi unaishi chini ya mfumo gani wa serikali, siku hizi sote tunatamani kuwa huru, kuamua sisi wenyewe tutakavyokuwa bila watu wengine kutwambia yatupasayo kuyafanya. Shauku ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Wakati Unapata Shida
Maishani, kuna wakati ni muhimu sana kusimama kidete juu ya ahadi zake Mungu. Daima ni muhimu kufanya hivyo lakini hususani wakati wa shida. Je! Ni lini uliwahi kukumbana ...
-
Waliotangulia
Katika ulimwengu huu unaosukumwa kasi na teknolojia, ambapo mtu anaweza kuagiza chakula cha jioni kwa kutumia simu yake janja halafu kilaletwa kwake nyumbani baada ya nusu saa, ...
-
Nuru Inayoangaza Moyoni Mwako
Unajua wakati kitu fulani kimekuchanganya muda mrefu sana, yaani unajua kitu hakiko sawa lakini bado hujakielewa ni nini, halafu ghafla, kinaeleweka kwako … ni kama taa ...
-
Je! Umefungua Karatasi ya Kufungia Zawadi Yako?
Ebu fikiria ingekuaje kama siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwako, tuseme miaka 20, 30 au 40, yule ambaye anakupenda zaidi anakupa zawadi iliyofungwa vizuri kwa mapambo ya ...
-
Kuna Nguvu Katika Ahadi Ile
Je! Ni lengo gani Mungu aliyeweka mbele yako tangia leo hadi siku utakapovuta pumzi kwa mara ya mwisho? Kwa nini amekuacha uendelee kuwepo hapa duniani badala ya kukupeleka ...
-
Kumbuka Ahadi
Back in the days of old, the only sort of boats that existed were sailboats. Intrepid sailors criss-crossed the globe, crossing great oceans to discover new worlds, powered by one ...
-
Get out of Jail Free
Sometimes in life – things go wrong – a relationship, our work, money problems, kids….it’s a pretty long list. And when they do, it seems like nothing else ...
-
Acha Uzima Uanze
Kristo amefufuka! Amefufuka kweli kweli! Ni kiitikio cha zamani cha Wakristo kupitia makarne mengi. Ni kelele za shangwe. Lakini, je! Ina maana yo yote kwetu baada ya ...
-
Kushindwa
Jumamosi kati ya Ijumaa Kuu na Jumapili ya Pasaka. Siku hiyo tunaifanyaje? Ni kama hakuna kilichotokea kati ya matokeo yaliyotisha ya Ijumaa Kuu na mambo ya ajabu mno ...
-
Alikubali Hayo Yote Kwa Ajili Yako
Sasa tumefikia siku ile inayoitwa “Ijumaa Kuu”, tukikumbuka tukio linalotisha, lisilotazamiwa ila wewe na mimi tutendewe jambo la ajabu mno lisilotazamiwa. Kama tumekuwa ...
-
Ahadi Kubwa Sana
Yesu alitamka maneno ya kushangaza, maneno yasiyotazamiwa. Kila wakati mtu anasoma habari zake katika Injili, hawezi kukosa kumshangaa. Siku hizi chache tumeona jinsi wanafunzi ...
-
Hatimaye, Unajikwaa
In just a couple of days we’ll be commemorating that terrible day, “Good Friday”, when Jesus was nailed to that Cross for all to see. How could that possibly have been ...
-
Licha ya Kusudio Lako Bora
Ni vizuri kuwa na makusudio mema, lakini kuyatekeleza ni swala lingine kabisa. Hakuna mwanadamu anayeishi leo ambaye hakuanza safari akiwa na malengo mazuri, lakini akajikwaa ...
-
Hisia ya Kuwa na Hatia
Kuna mambo mengi yaliyo dhahiri katika maumbile ya kila mmoja wetu kwa sababu yameumbika ndani yetu kwa kuwa tumeyarithi kutokana na vizazi vilivyotangulia. Lakini kuna kitu ...
-
A New Life in Jesus
For most of us, Easter just comes and goes. We’ve done it before…. lots of times. We know the story. We know how it ends. Of course, we know it’s important – the ...
-
My Redeemer Lives
Most of the time, when it comes to this whole Easter thing, the bit we remember most is the bit where Jesus died on the Cross, to pay for our sin. And that’s certainly a ...
-
Roho Mtakatifu Anaondoka na Kutoka Ndani ya Jengo
Swali: Kuna utofauti gani kati ya kufuata amri na kanuni na kumfuata Yesu? Ni kama hatuwezi kutii amri barabarani, lakini kumfuata Yesu kumbe kunabadilisha mambo yote. Hii ...
-
Kuachana na Maisha ya Uhalifu
Mtu akichunguza vizuri jinsi serekali zetu zinavyopanga sera na kuzipitisha, karibu mara zote ni kukabiliana na matukio tu. Mtu anafanya kitu ambacho hawapendi, mara moja ...
-
Tafsiri Halisi ya Kushindwa
Je! Umewahi kujitahidi sana na kujinyima mengi ili uweze kutimiza lengo fulani halafu ukishafanikisha, unakuta kwamba kumbe, bado kuna pengo, bado hujaridhika, kwamba mafaniko ...
-
Mpango Kwa Ajili ya Kesho
Si ajabu hii, kwamba hata kama tunajua ya kuwa siku moja tutaondoka kutoka maisha haya na kuingia maisha mengine, kila siku tunafikiri na kutenda kana kwamba tutaishi hapa duniani ...
-
Bila Faida Yoyote
Mvuto wa vitu vyote ambavyo vinanunuliwa kwa pesa ni kama unaongezeka kila siku. Yaani mfumo wetu wa uchumi umezidi kuwa stadi kwa jinsi unavyotutenganisha na pesa zetu ...
-
Mambo Ambayo Yesu Hakusema
Leo, ulimwengu unataka kutwambia kwamba lengo kuu la mwanadamu ni kuishi maisha mazuri na kufurahi. Ni sawa, kwa sehemu, lakini lengo hili lina hatari fulani. Ukiniuliza kama ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Kuirudisha Nuru ya Imani Yako Kama Vile Katika Kioo
Imani yetu,.. yako na yangu, haiwezi kuwepo nje ya mazingira yetu wala nje ya umma na yote yanayoendelea mahali tulipo. Hata kidogo. Imani ilikusudiwa kuwa sehemu ya maisha ya ...
-
Times of Refreshing
Life can be a grind sometimes. What we really want is some time of refreshing. Like jumping into a cool swimming pool on a hot day. Join Berni Dymet as he looks at ...
-
Barua Yako ya Ushuhuda
Swali linalokuja haraka: Je! Wewe ni tajiri kiasi gani? Kwa sababu kama unayo mahitaji ya msingi – maji, chakula, nyumba – basi hata ukijipimaje, wewe ni tajiri kuliko ...
-
Utajiri Wake Katika Utukufu
Katika ulimwengu huu unaozidi kutajirika, inatuwia vigumu zaidi kutenganisha matamanio yetu na mahitaji yetu. Mara nyingi, hasa wakati tunaomba, tunachanganya hayo mawili. Hapa ...
-
Kuridhika Nafsini Mwako
Kuridhika. Kutoshelezeka. Kutimiziwa. Maneno hayo matatu yanaeleza habari ya ustawi ambao kila mmoja wetu anautafuta kwa hamu kubwa … lakini wengi hawaufikie kabisa. ...
-
Tazamia Kuona Mambo Makuu
Najiuliza mara kwa mara kwamba wakati tunaomba, mara ingine tunamwendea Mungu na matazamio yaliyo hasi. Je! Ananisikia kweli? Je! Ananijali? Je! Yupo kweli kweli? ...
-
Usiufiche Msalaba
Kuna sababu moja inayonisukuma kufanya ninayoyafanya, inayoniamsha kila siku nitoke kitandani. Ni shauku endelevu kuwaambia watu wengi iwezekanavyo habari za Yesu. ...
-
Upendo Haupungui Neno Wakati wo Wote
Wewe na mimi tunao tabia kulenga mambo ambayo hatimaye hayana maana sana. Sasa kama hatimaye hayana faida, inabidi mtu ajiulize, je! Kwa nini niyape kipaumbele sasa? Nina ...
-
Neema ya Ajabu Mno
Neema inapatikana kwa nadra sana siku hizi. Mfumo wa ulimwengu huu unatazamia kwamba kila mtu atafanana na wengine, kwamba atakuwa na mchango wake katika jamii. Yaani ...
-
Unlocking the Power of Prayer (Pt 3)
Prayer that yields powerful results is normal in God’s sight. That’s the amazing truth that we discover when we look at what God says about prayer in His Word. So – ...
-
Uhakika na Bayana
Si unapenda kukutana na watu jasiri ambao wana hakika ya mambo, wakijiamini. Ukikaa nao, mara moja utaanza kujisikia kwamba na wewe si mtu wa mashaka tena. Je! Ni kipi ...
-
Mimi Mwenye Hamaki, Wewe Mwenye Hamaki
Kuna siku mimi ni mwenye hamaki, kuna siku hata wewe unakuwa mwenye hamaki. Sote tunaweza kuwa wenye harara. Natumaini kwamba hali hiyo haitokei mara nyingi, lakini hua ...
-
Uungojee Msaada Wake
Zamani wakati nilikuwa jeshini, tulikuwa na msemo, “Wahi upate kusubiri.” Ni kama walituwahisha kwenda sehemu tusichelewe, lakini baada ya kufika eneo husika, tulisibiri ...
-
Jinsi ya Kuwa na Nguvu
Ni kweli kinzani kwamba wakati tunahitaji nguvu zaidi, ni pale tunapojisikia kuwa wadhaifu kabisa. Ni wakati nguvu zimetuishia, ndipo tunayozihitaji zaidi. Yaani, inasumbua ...
-
Chombo Kinachomfaa Bwana
Mkono wa Mungu uokoaye ni mada endelevu katika Agano la Kale, hata Agano Jipya. Hii ni habari njema. Habari njema kabisa, kwamba tukipata mateso, Mungu yu nasi ili atuyavushe. ...
-
Acha Tabia ya Kupenda Kucheza na Hatari Hadi Karibu Kabisa
Tukiwa watoto, tunawachezea wazazi na kuwajaribu ili tutambue mipaka yao na jinsi tunavyoweza kuwaendesha, tukipima kuona ni wapi tunapoweza kufikia katika fujo yetu. Ni sehemu ...
-
Usimpe Ibilisi Nafasi
Sijui kama umeshagundua hili, lakini duniani kuna mambo mengi sana ambayo yangetukasirisha kila wakati. Wakorofi, mambo ya siasa, mazingira magumu, mitazamo ya watu, yapo mengi ...
-
Unlocking The Power of Prayer (Pt 2)
Prayer that yields powerful results is normal in God’s sight. That’s the amazing truth that we discover when we look at what God says about prayer in His Word. So – ...
-
Zichukie Dhambi Zako
Ni ajabu jinsi tunavyowahukumu watu wengine tukikosoa mienendo yao mibaya wakati hatuoni madhaifu na mapungufu yetu. Bora tungechukia dhambi zetu kama vile tunavyochukia dhambi ...
-
Uwe Tofauti na Umati wa Watu
Ni huzuni kuikiri, lakini nikikagua moyo wangu, naona kwamba mara nyingi sana, nimekuwa na hisia za kudai haki zangu kila mara. Ni tabia niliyoirithi kwa kuwa nimezamishwa ...
-
Upendo Huvumilia …
Mimi binafsi sikubaliani na dhana ifuatayo inayosema, “Kwa nini kutamka habari kwa maneno sita wakati mtu angeweza kutumia maneno sitini?” Lugha ya madoido pengine inaweza ...
-
Tafuta Hekima Mapema
Je! Unakumbuka wakati ulikuwa bado kijana na jinsi ulivyopumbazika mara kwa mara? Mimi ninakumbuka vizuri sana mambo ya upumbavu niliyoyafanya nikiwa kijana Balaa mojawapo ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Kisasi Kizuri
Mtu akikudhulumu au akimdhulumu rafiki yako, halafu hasira yako ikipanda mpaka kugadhibika, je! Ni kitu gani unachotaka kufanya kuliko vyote? Kujilipiza kisasi. Ingekuwa ...
-
Matendo Makuu ya Mungu
Je! Umewahi kuwa na shauku ya kutenda jambo “kuu” kwa ajili ya Mungu? Je! Umewahi kuota ndoto kwamba ametenda makuu maishani mwa watu wengine kupitia wewe? Lakini kwa ...
-
Ulimwengu Bila Upendo
Tujaribu kufikiria ulimwengu bila upendo. Inatisha, si kweli? Lakini kwa watu wengi, hawana haja kufikiria sana kwa sababu tayari maisha yao yamekosa upendo kabisa. Leo hii, ...
-
Unlocking The Power of Prayer (Pt 1)
It’s funny that survey after survey shows that 75% of all people have prayed in the last month. And yet most of them would never admit it. What’s prayer all ...
-
Unlocking the Power of Prayer
So often, we see things happening in people’s lives and we feel so helpless. ‘The problem’s so big, so daunting….I can’t possibly make a difference. I guess if ...
-
Thibitisha Mafanikio Yako
Leo tunataka kuongea kuhusu mada ya mafanikio. Mafanikio yako katika ufalme wa Mungu. Kama una mashaka, ni vizuri, kwa sababu ukimsikia mtu akichanganya Neno la Mungu na ...
-
Iwe Nuru
Kuna mara maisha inakuwa kama kitendawili. Yaani yale yote yanayoendela maishani mwako, moyoni mwako, katika familia yako, pale unapoajiriwa … mara ingine hayaeleweki ...
-
Ni Yapi Yaliyo Mema?
Tunaishi katika ulimwengu wenye utofautishaji kabisa. Weusi na weupe. Warefu na wafupi. Matajiri na maskini. Vijana na wazee. Lakini kilicho muhimu kuliko vyote ni hiki: ...
-
Ondokana na Uovu Wako
Inaonekana kwamba kuna njia moja tu ya kujiepusha kabisa na uovu unaotawala ulimwengu huu na kuenena kila sehemu ya maisha. Ni kujitenga kabisa na kuishi peke yako. Hmm. Au ...
-
Utamjua kwa Kumtii
Lazima mtu ajihadhari na watu wanaojidai kwamba wao wamepata kufunuliwa jambo ambalo wengine hawakulipokea. Lakini sisi Wakristo, ndivyo tunavyodai; kwamba tumepewa ufunuo ...
-
Tuendelee Hadu Tufikie Makuu
Mateso yakikupata, je! Umejiuliza kama Mungu mwenyewe alisababisha yatokee? Je! Msiba ule uliweza kupenyeza bila yeye kujua au daima ulikuwa sehemu ya mpango ...
-
Wakati Mtu Anajua Hakika
Have you ever wondered why God, in His wisdom, chooses to say the same thing in His Word over and over again? It’s a question I’ve asked myself often. Why would He do that? I ...
-
Spirit and Word
It’s amazing but when you think about it God left two things of Himself behind for us on this Earth. Of course He owns all creation – but the two things of Himself that ...