-
We found 100+ page/s that match your search request
-
Jinsi Unavyowatendea Wafanyakazi Wako
Mtu awaye wote aliyekuwa na majukumu ya kuongoza watu wengine anafahamu kwamba ni kazi ngumu. Kuna wakati watu wanakuangusha kabisa. Vile vile, hauna budi kukosolewa. Kwa ...
-
Je! Bado Unajaribu Kuvutia Watu Wengine?
Haijalishi tunavyofikiria kwamba tu wanyenyekevu kiasi gani, bado kuna kishawishi kilichofichwa kwenye kiini cha mioyo yetu kinachotwambia kwamba ingependeza sana kama sisi ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Roho Mtakatifu Anaondoka na Kutoka Ndani ya Jengo
Swali: Kuna utofauti gani kati ya kufuata amri na kanuni na kumfuata Yesu? Ni kama hatuwezi kutii amri barabarani, lakini kumfuata Yesu kumbe kunabadilisha mambo yote. Hii ...
-
Upendo Haupungui Neno Wakati wo Wote
Wewe na mimi tunao tabia kulenga mambo ambayo hatimaye hayana maana sana. Sasa kama hatimaye hayana faida, inabidi mtu ajiulize, je! Kwa nini niyape kipaumbele sasa? Nina ...
-
Mimi Mwenye Hamaki, Wewe Mwenye Hamaki
Kuna siku mimi ni mwenye hamaki, kuna siku hata wewe unakuwa mwenye hamaki. Sote tunaweza kuwa wenye harara. Natumaini kwamba hali hiyo haitokei mara nyingi, lakini hua ...
-
Acha Tabia ya Kupenda Kucheza na Hatari Hadi Karibu Kabisa
Tukiwa watoto, tunawachezea wazazi na kuwajaribu ili tutambue mipaka yao na jinsi tunavyoweza kuwaendesha, tukipima kuona ni wapi tunapoweza kufikia katika fujo yetu. Ni sehemu ...
-
Upendo Huvumilia …
Mimi binafsi sikubaliani na dhana ifuatayo inayosema, “Kwa nini kutamka habari kwa maneno sita wakati mtu angeweza kutumia maneno sitini?” Lugha ya madoido pengine inaweza ...
-
Matendo Makuu ya Mungu
Je! Umewahi kuwa na shauku ya kutenda jambo “kuu” kwa ajili ya Mungu? Je! Umewahi kuota ndoto kwamba ametenda makuu maishani mwa watu wengine kupitia wewe? Lakini kwa ...
-
Ulimwengu Bila Upendo
Tujaribu kufikiria ulimwengu bila upendo. Inatisha, si kweli? Lakini kwa watu wengi, hawana haja kufikiria sana kwa sababu tayari maisha yao yamekosa upendo kabisa. Leo hii, ...
-
Tuendelee Hadu Tufikie Makuu
Mateso yakikupata, je! Umejiuliza kama Mungu mwenyewe alisababisha yatokee? Je! Msiba ule uliweza kupenyeza bila yeye kujua au daima ulikuwa sehemu ya mpango ...
-
Mwachie Bwana Nafasi ya Kutenda
Ebu fikiria kana kwamba unachimba alimasi. Mwezi baada ya mwingine unajichosha kabisa na kukatishwa tamaa na kazi ngumu mno bila mafanikio. Hamna kitu. Kwa hiyo, ...
-
Usijipendeze Mwenyewe
Zamani hizi za kujipendeza, wakati watu wengi wanatetea haki zao, ni rahisi sisi nasi kuanza kufanana nao. Lakini tusidhani kwamba hili ni jambo jipya la kushangaza, hapana. ...
-
Msijisumbue kwa Neno lo Lote
Muda huu, yote yaliyotokea katika maisha yako hadi sasa, yameshapita kabisa. Huwezi kuyarudia, lakini unaweza kuyaruhusu yaendelee kukusumbua. Sijui kama umewahi kufikiri, ...
-
Kujua Mapenzi Ya Mungu
Ungonjwa mmoja mbaya uliopo kati ya watu wa Mungu sehemu nyingi duniani ni kukosa kujua Neno lake. Kwa upande mmoja, watu wana shauku kutambua mapenzi ya Mungu kwa ajili ya ...
-
Uishi Katika Imani Yenye Ujasiri
Laiti maisha yangekuwa shwari tu; ingekuwa tamu kabisa. Laiti mambo yote yangeenda sawa sawa ili tuwe na afya, mali na hekima. lakini bado kuna mafumbo na giza. ...
-
Usiwe Mwenye Kuleta Kikwazo
Kuna uongo Shetani anapenda kueneza kwamba “dhambi ndogo” haina shida. Endelea, hakuna atakayekuona! Ni dhambi ndogo tu. Ni kama si dhambi nyenyewe. Huu ni ...
-
Uwe na Moyo Mkuu Kipindi Hiki Chenye Wasiwasi
Haijalishi tunajikuta katika mazingira gani muda huu huu, yakiwa mema au mabaya, lazima yatagusa mtazamo wetu katika maisha haya. Ni dhairi kwamba mazingira mazuri yanatuinua kama ...
-
Kisha, Maisha Yanaendelea Tu
Hivi karibuni, swala zima la Krismas litakuwa limeshapita kwenye kalenda yetu na kutoweka. Na sisi tutaendelea na maisha kama kawaida. Lakini huko mbeleni, itakuaje? ...
-
Tujaribu Tena
Tabia ya Mungu na asili yake kabisa jinsi alivyo kwelikweli, watu wanaweza kuielewa vibaya. Kwasababu Mungu amejidhihirisha kama Mungu wa upendo, lakini pia Mungu wa hukumu; ...
-
Watu Wengi Wana Hamu
So you’re getting ready to celebrate Christmas. Of course, there are two reasons to celebrate: the Santa, reindeer, baubles, tinsel and turkey reason, or the original and the ...
-
Utengano Unaofisha Umoja
Kinachokera zaidi ni wakati wenye mamlaka wanachezea mambo ya siasa badala ya kujitolea kwa faida ya watu ambao wanawatawala, wakishutumiana na kuwindana kwa kugombania vyeo. ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Kitendawili cha Uhuru
Sisi sote tunayo shauku ya kuwa huru, huru kutoka kwenye kanuni, mizigo , majukumu yanayotuelemea, huru kutoka kwenye mahusiano yanayosumbua. Ni mambo mengi tu ambayo ...
-
Ulimwengu Uliopoteza Dira
Leo hii, kuna watu karibia Billioni moja ambao hawapati chakula cha kutosha wakati watu Billioni mbili na nusu wamenenepa kupita kiasi. Mwaka huu, nusu Triliyoni za dola za ...
-
Wanaokutendea Jeuri.
Mimi ninaona kwamba karibu kila siku, ninakutana na watu ambao wanajaribu kunitukana na kunikwaza kwa njia tofauti tofauti. Je! Umeshakutana na hayo? Watu wengi ...
-
Kuinuliwa Katika Unyenyekevu
Inapendeza kweli hasa pale watu wengine wanapokuthamini vile ulivyo. Ni jambo jema sana. Lakini tunaishi katika ulimwengu ambao watu wamevuka mipaka kabisa kwa swala la ...
-
Uwe Mwenye Upendo
Sasa, ni mara ngapi umehukumu na kutathmini kitabu fulani kwa kuangalia jalada Lake tu? Sitaki kukuhukumu, lakini nadhani kama ukisema ukweli, sio mara chache, au? ...
-
Kuwa Sahihi na Kuwa Mwenye Fadhii
Nadhani unafahamu inavyovunja moyo pale unapojua uhakika ya kwamba wewe uko sahihi lakini kuna mkorofi (samahani, lakini ndivyo mpinzani wako anavyoonekana, si kweli?!) akizidi ...
-
Kuwa Kama Beethoven
Mara nyingi sana vipawa na vipaji kutoka kwa Mungu ambavyo viliumbwa ndani yetu, watu wengine hawavioni wala hawavithamini, tena isitoshe, watakwambia usifanye yale Mungu ...
-
Ubia Wenye Nguvu
Ni nani asiye na nia ya kuishi maisha bora? Maisha iliyowekwa huru na makosa aliyoyafanya zamani, maisha yanayoweza kutikisa ulimwengu kwa kuleta mema. Yaani ni shauku ya ...
-
Alilipa Deni Langu
Viwango vya riba huwa vinapanda na kushuka, kiwango kikiwa juu inakuwa vigumu kwa waliochukua mkopo na wana madeni kuweza kulipa. Na ni huzuni kwasababu kuna wengine ...
-
Kukubali Neno la Mungu Kama Lilivyo … au La
Kwa mtazamo wa haraka-haraka, ni kama kuna vipengele vingi ndani ya Neno la Mungu ambavyo vinaonekana vinaenda kinyume na dhana za kisasa. Ikitokea hivyo, basi inabidi ...
-
Nadharia Yahusuyo Mkokoteni
Labda utafikiri kwamba nimechanganyikiwa lakini mimi naona kama swala la kurudhisha mkokoteni mdogo ni mtihani unaompima mtu kuona kama anaweza kufanya yaliyo haki. Kwasababu kama ...
-
Mbeleni Kuna Siku za Furaha
Kumbe!, Imeshakuwa Jumapili na ninatumaini kwamba tumetenga muda wa kumwabudu Mungu na kupumzika pia, jambo linalohitajika kwa mwanadamu. Halafu Jumapili hii, ninawiwa ...
-
Ni Nani Atakayekwenda Mlangoni Kuangalia ni nani Anayebisha Hodi?
Kuna siku nguvu za Shetani zinazokushawishi kwenda njia isiyofaa zinakuwa kama kubwa kuliko uwezo wako wa kumpinga hata kuliko uwezo wa Mungu kumzuia. Ndivyo inavyokuwa. Mvutano ...
-
Kutilia Mashaka Neno la Mungu
Siku hizi ni rahisi sana kushawishika na kuanza kutilia mashaka Neno la Mungu; kufuta mistari inayotukera na kutusumbua ndani ya Biblia ili iweze kupendeza zaidi na kwenda ...
-
Kutengana Bila Mwelekeo
Familia zetu ni muhimu sana kwenye maisha. Lakini familia nyingi zina matatizo kweli. Familia nyingi wanazo “ishu” nyingi tuseme. Pia, na ni huzuni kabisa kulisema, familia ...
-
Family: When Things Don’t Turn Out The Way You’d Hoped (2)
Families are something we tend to take for granted. Most of us grew up in a family for better or for worse and many of us have started our own families. And yet as much as this ...
-
Family: When Things Don’t Turn Out The Way You’d Hoped (1)
Families are something we tend to take for granted. Most of us grew up in a family for better or for worse and many of us have started our own families. And yet as much as this ...
-
Family – When Things Don’t Turn Out the Way You’d Hoped
Families are something we tend to take for granted. Most of us grew up in a family for better or for worse and many of us have started our own families. And yet as much as this ...
-
Maisha Yenye Uwiano Mzuri
Kama mtu angekujia na kukupa ofa ya kuridhika, yaani kutoshelezeka na maisha yenye matunda na uwiano mzuri, je! Ungepokea ofa yake? Nadhani wengi tungeipokea. Ni kweli ...
-
Kuwaonekania Wenye Shida
Nadhani ninaweza kusema kwa uhakika kwamba, wewe na mimi, tuna watu tunaofahamiana nao, ambao sasa hivi wako wanapitia vipindi vigumu. Na mara nyingi, usibishe tafadhali, ...
-
Maneno Usingependa Kuyasikia
Ukosoaji haupendezi, unatonesha kabisa, unaumiza, ni kweli, mimi sijakamilika lakini sipendi kusikia watu wengine wananisema. Kuna kozi ya uongozi ninaifatilia siku hizi na ...
-
Imani Dhaifu, Inayoyumba-yumba Lakini Yenye Unyenyekevu
Rafiki yangu mpendwa, aitwaye Lowell Wertz, amekuwa sasa mishionari barani Afrika zaidi ya miaka 40. Jana nikulishirikisha changamoto yake ya kwanza wakati Mungu anataka awe ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Kumpendeza Mungu
Tumaini letu tulilo nalo sirini ni kwamba tukimfuata Yesu, tukimtii basi atatubariki. Afya njema, mali na hekima. Hilo ni tumaini. Lakini kwenye kiini cha moyo, kwamba yawezekana ...
-
Haina Makona Mengi
Watu wanasumbua, si umeshaona? , kuna wengine wanasumbuana sana, sana! Soi hivyo tu, kuna wakati wanatutendea vibaya tena kwa makusudi. Sasa, ni mara ngapi ...
-
Kupendwa Hata Kama Hatustahili
Kuna watu wanaweza kuchukizwa nasi kwa sababu zisizoeleweka au hata kinyume cha haki kabisa. Ni kweli, hata mtu afanyeje hawezi kupendeza watu wote. Lakini hata hivyo, ...
-
Ukitenda Mema
Tunaishi kwenye ulimwengu ambao yale tuliyokuwa tunajua kwamba ni maovu – kama uroho, tamaa, uzinzi na kadhalika – sasa yanaitwa mazuri tena yanapongezwa. Ole kwa ...
-
Ushirikishe na Wengine!
Ni kama inatuwia vigumu siku hizi kuongea na watu wengine kuhusu upendo wa Mungu ndani ya Yesu Kristo, kwahiyo watu wengi wameacha kumshuhudia. Lakini bado kuna kitu ndani ...
-
Kumpendeza Mungu
Labda wewe ni mtu anayetaka kumpendeza Mungu, lakini (nadhani umeshagundua hili) si jambo rahisi kila wakati. Kwahiyo … mtu atafanyaje ili aweke msingi imara ya ...
-
Eneo la Neema
Je!, Unaweza kukumbuka ulipokuwa kijana jinsi kipindi kile kilivyokuwa kigumu. Ulikuwa kama mtoto lakini unachanganya kila kitu, karibu kila mtu alikuwa hakuelewi. kweli ni ...
-
Kwenye Nuru
Invariably, whenever we have something to hide, it involves sin. Not always, but most times. If you have something that you want to hide from people, then the most important ...
-
Mapatano Yenye Hila
We’ve all done things we’re not proud of. I have, you have. The question though, for each one us, is this: will we keep on doing those things, or will we come out of the ...
-
Kinachompendeza Mungu
Have you ever wondered to yourself, “What brings God joy?” I mean, we’re made in His image and we experience joy in our lives. So it stands to reason that He does too. What ...
-
Si Mtumwa Tena
The thing that I love most about God is the depth of the passion in His heart to set the likes of you and me free from the oppressive power of sin, that for all too long has ...
-
Mungu Aonyesha Pendo Lake Kwetu Sisi
Here we are … It’s Good Friday. The worst and the best day on the Christian calendar. The worst, because Jesus was nailed to that bloody Cross and died. The best, because ...
-
When People Plot Against Us
Every now and then, we find ourselves in a position where people are plotting against us. Murmuring. Whispering. It hurts a lot. We feel isolated and it can be ...
-
Usitende kwa Hasira
Acha nikuulize, Ni kipi kinasababisha hasira yako ipande mara kwa mara? Kila mtu ana vitu vinavyoweza kumchokoza akasirike na tunapokuja juu adrenalini inazidi kuzunguka ...
-
The Joy of the Lord Is Your Strength (2)
The big mistake we make in this life is that we think that happiness and joy are the same thing. They simply aren’t. Happiness relies on our circumstances, and they can change, ...
-
The Joy of the Lord Is Your Strength (1)
The big mistake we make in this life is that we think that happiness and joy are the same thing. They simply aren’t. Happiness relies on our circumstances, and they can change, ...
-
The Joy of the Lord is My Strength
The big mistake we make in this life is that we think that happiness and joy are the same thing. They simply aren’t. Happiness relies on our circumstances, and they can change, ...
-
Close Encounters
It’s always interesting to tap into the experiences of other people, particularly when those experiences are close encounters with God. And that’s exactly what this ...
-
Kuthubutu Kuwa Tofauti na Wengine
Yesu aliwaahidi wanafunzi wake mambo mengi, kuna ahadi moja ambayo sijui kama unaweza kuipokea kwa shangwe na vigelegele huku ukisema haleluya. Ahadi hiyo ni hii, kama ...
-
Ni Akina nani Wataketi Kwenye Kiti cha Enzi?
Ni kama umilele uko mbali sana, sindiyo? Kwanini? Labda ni kwa sababu tumezama sana kwenye maisha ya kila siku, ko swala la “uzima wa milele” ni vigumu kwetu ...
-
Kufikia Lengo
Kuna udanganyifu mkubwa kuliko wote ambao Shetani amepandikiza katikati ya watu wa Mungu. Ni kwamba, mtu anaweza kuokoka na kupokea karama ya uzima wa milele bure bila kuwa ...
-
Kurudia Tena na Tena
Imewahi kunitokea maishani mwangu (bila shaka na hata kwako pia) furaha ya Bwana, ni kama imetoweka. Yesu alisema na akafanya kama alivyosema ili tuwe na furaha tele. ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Hapana Neno Lililo Gumu Asiloliweza.
Tunapaswa kukumbushwa kila mara, wewe na mimi, jinsi Mungu wetu alivyo mkuu na mwenye uweza. tunayokabiliana na mambo ambayo katika ulimwengu huu yanaweza kupunguza na kuharibu ...
-
Mpendane Ninyi kwa Ninyi
Kupenda watu unaopendezwa nao ni rahisi sana – hata kama mahusiano yenu yanaweza kuwa na visiki na vikwazo mara kwa mara. Lakini kwa upande mwingine, kupenda watu ...
-
Lengo ni Nini?
Ni kama kuna aina tatu ya vipindi vya maisha. Mambo yanaweza kuwa yanaenda shwari kabisa, au – kama unavyojua – yakiwa kawaida tu. Lakini kwa sababu moja au nyingine, ...
-
Kupiga Hatua Kufika Kwenye Mwamba Imara
Kwa kuwa sisi sote ni binadamu, mioyoni mwetu kuna mvutano kila mara kati ya nia ya kutenda mema na hali ya kushindwa na uovu. Si wewe na mimi tu!. Kila mtu ...
-
Usinyauke Ukiwa Kwenye Mzabibu
Ni ajabu namna dhambi;; – unajua, watu hawapendi kusikia neno hilo siku hizi –dhambi ina tabia ya kuchipuka tena maishani mwetu bila sisi kuelewa. Leo ni muda muafaka wa ...
-
Kushirikisha Wengine Injili Isiyopendwa na Watu Wengi
The Christmas season is a time when, more than ever, we have a license to speak about Jesus – who He is, why He came, the powerful difference He can make to our lives. It’s a ...
-
Faida ya Kutenda Mema
Do you know the biggest difference between doing bad and doing good? Doing bad is so easy. It just seems to come naturally to us. Doing good on the other hand … well, that can ...
-
Huduma ya Kuwatia Moyo Wengine
Inashangaza jinsi Mungu anaweza kutumia tukio la kawaida kutufundisha somo lenye nguvu, tukimruhusu, hata kama hatuko katika hali ya kiroho. Hayo ndiyo yalinitokea hivi ...
-
Kila Tatizo Lina Lengo Lake
Wakati tunapitia kipindi cha matatizo mara kwa mara, dhana au swali linalokuja ni hili: Kwa nini hayo yamenipata mimi? Ni swali ambalo linahitaji kujibiwa. Haujambo? ...
-
Matazamio Yenye Shauku
Mambo yanayoendelea katika maisha yetu, wewe na mimi yana nguvu sana, Yanajenga mazingira yetu kabisa na kufupisha mtazamo wetu kuhusu umilele na kusababisha tuangalie ...
-
Lengo la Ushindi
Sote tunapenda neno “ushindi” neno hili linanahusu – mafanikio, utukufu, umaarufu, Ni nani asiyetaka kuishi maisha ya ushindi, akisongambele licha ya vipingamizi hadi ...
-
Muda Unaenda
Umebakiza muda gani ili uwapende wanaokuzunguka?, Lini itakuwa wakati wako wa mwisho wa kukumbatia mpendwa wako?….Jibu ni kwamba, hatujui. Ndio maana upendo unapaswa ...
-
Tufuate Neno au Tufuate Ulimwengu
Ulimwengu tunaoishi leo; kweli umebadilika sana – kumekuwa na mabadiliko mengi na makubwa kwenye teknolojia, ulimwengu uko kama kijiji sasa hivi, msimamo wa watu na maadili ...
-
Inapokuwa Vigumu Kumpenda Mtu
Mara kwa mara tunakutana na watu wanasumbufu kweli, wanaotukwaza, wanatudhalilisha na kutuudhi. Hatupendi lakini hatuna budi kukutana nao. Sasa mtu anakabilianaje na ...
-
Kujidai Haki Haipendezi
Leo, tabia ya kuhukumiana imekuwa kama ugonjwa wa kansa katika jamii. Mtu akisoma kwenye mitandao ya kijamii dakika tano tu atagundua hilo. Si katika jamii tu. Hali hii ya ...
-
Usiwe Mwenye Aibu
Kwa kawaida kujiona wa fahari si jambo jema, tunapojaa kiburi na kunia makuu huwa haipendezi, si kweli? Mungu anapinga wenye kiburi japo kuona fahari ni jambo jema wakati ...
-
Endelea, Usichoke
Uwepo wa dhambi ni ukweli usioepukika. Najua kama siku hizi watu wengi hawapendi kusikia habari za dhambi, lakini tangu lini maoni ya wengi yamekuwa kipimo cha kujua ...
-
Kuokolewa Kutoka kwenye Kinywa cha Simba
Kuna vipindi mambo huwa yanaenda shwari, Halafu kuna vipindi vingine mambo yote huwa yanatuharibikia sasa hapo ndipo huwa tunatamani Mungu aje atuokoe. Ni lini uliwahi ...
-
Kukubali Ukosoaji Unaojenga
Kama tulivyochunguza jana, kuna aina mbili tofauti za ukosoaji unaolingana nguvu na hatuna budi kukumbana nazo katika maisha. Aina ya kwanza unabomoa, ya pili unatujenga. Ni ...
-
Usipange Kutenda Maovu
Mtu akiishi kwenye nchi kama hii yetu ambayo imejaa wanyama wenye sumu kama – buibui na nyoka ni hatari sana, nakumbuka niliwahi kushambuliwa na kangaroo nilipokuwa mtoto, ...
-
Usirupuke Kutenda Maovu
Kuna wakati tunatenda kwa ujinga bila hata kufikiria, mambo yanaweza kuwa shwari kama kawaida halafu ghafla, kitu kinatuchokoza na mara moja tunarupuka kutenda mabaya. Ni ajabu ...
-
Reaching Your Full Potential
Sometimes it’s hard to come to grips with the fact that we have some real untapped potential. The sad thing is when people live their whole lives without realising that ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Kushinda Ulimwengu
Hakuna uhaba wa waovu duniani, waovu bado wapo wengi sana. Ndio maana, usishangae kukutana nao kila mara. Mfalme Daudi anajulikana kama mfalme mkubwa kupita wafalme wote wa ...
-
Kuthamini Jitihada za Watu Wengine
Hivi, Umewahi kujitahidi kutumika kwa nguvu zako zote lakini watu hawathamini yale unayowatendea? Huwa unajisikia kama hufai, sindiyo?, na kwa kusema ukweli, ni lazima mtu ...
-
Ushuhuda Wenye Nguvu
Wanasiasa wanapokosa uhakika kuhusu jambo fulani walipeleke kwenye sera ipi, mara nyingi huwa wana tabia ya kurudia kanuni za zamani, kwamba, “ukiwa na mashaka, basi fuata ...
-
When the Lion Roars (2)
We live in a world where so many terrible things are taking place. Wars, atrocities, exploitation, starvation not to mention the political and ideological difference tearing ...
-
When the Lion Roars
We live in a world where so many terrible things are taking place. Wars, atrocities, exploitation, starvation not to mention the political and ideological difference tearing ...
-
When the Lion Roars (1)
We live in a world where so many terrible things are taking place. Wars, atrocities, exploitation, starvation not to mention the political and ideological difference tearing ...
-
When Bad Things Happen to Good People
Whether we like it or not, bad things do happen to good people. And when they do – it can be so hard to cope. Why did it happen to me? Why don’t you join Berni Dymet in this ...
-
The Road to Contentment (Pt 2)
Contentment is something of a “Holy Grail” for many a person. Why can’t I be at peace? Why don’t I have that quiet, warm sense of contentment? Those are questions that ...
-
The Road to Contentment
Contentment is something of a “Holy Grail” for many a person. Why can’t I be at peace? Why don’t I have that quiet, warm sense of contentment? Those are questions that ...
-
The Road to Contentment (Pt 1)
Contentment is something of a “Holy Grail” for many a person. Why can’t I be at peace? Why don’t I have that quiet, warm sense of contentment? Those are questions that ...
-
One Year Ends, Another Begins
The years roll by so quickly. And then, as we head into December and look at Christmas, then New Year, it’s a bit like, well, what’s it all about? Why am I doing this? What ...
-
Confidence Shakers
There are so many things that shake our confidence in this life. Things from the past that haunt us. When we compare ourselves with other people. When things come at us ...
-
A Confident Life in Uncertain Times
We live in a world that’s changing so quickly. There are so many choices and challenges in life. And so many people find that all of the change and the uncertainty eat away at ...